Masuala ya usajili

Muda wa usajili

Aina ya mtihaniMuda wa usajili
Diploma in Secondary Education Examination 1st July - 30th September
Special Diploma in Science, Mathematics and ICT 1st July - 30th September

Akaunti za benki za MTC

MTC ina akaunti zifuatazo za benki ambazo zinaweza kutumiwa na wanachuo kwaajili ya malipo. Kumbuka kutunza lisiti mpaka itakapo thibitishwa na MTC kuhusu malipo yako.

S/NBank NameName of AccountAccount NumberCurrencyType of Payment
1.NMB BankMpwapwa Teacher's CollegeTZSADA
2.NMB BankPrincipal Mpwapwa Teacher's CollegeTZSMICHANGO